Sambaza

Siwezi Kuwa na Mwanamke Mwenye Followers 6k – Marioo

Msanii anayefanya vizuri kwenye game ya  BongoFleva kwa sasa Omary Ally ‘Marioo’ amezungumzia sifa za mwanamke ambaye anamhitaji atakapoingia kwenye mahusiano ya kimapenzi. Marioo ambaye siku za hivi karibuni alizua gumzo baada ya kusema kuwa hajawahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi toka azaliwe ameweka bayana kuwa hapendi mahusiano na mwanamke yeyote maarufu na mwenye mambo mengi.

Akaongeza kusema kuwa “Mimi napenda mwanamke wangu awe mzuri, lakini asiwe na mambo mengi asiwe anapenda sana umaarufu, mwanamke akiwa na ‘followers’ zaidi ya 6,000 Instagram huyo siwezi kuwa naye.” Amesema Marioo alipokuwa akifanya mahojiano na Kikaangoni kinachorushwa kupitia televisheni ya EATV.

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey