Sambaza

Lulu Diva Ataja ‘Udhaifu’ wa Alikiba Hadharani

Msanii wa kike Tanzania anayefanya vizuri kwenye game ya bongo fleva amefunguka na kuainisha udhaifu mkubwa alionao msanii Alikiba katika muziki wake.

Akipiga story na moja ya kituo cha televisheni hapa Tanzania, Lulu Diva amefunguka kuwa Alikiba ni msanii mkali sana na yeye ni mmoja wa fans wake ila anawaangusha.

Alikiba sisi tunampenda sana na mimi shabiki yake lakini kututolea nyimbo mpaka aamue mwenyewe, sometimes tunammis lakini mtu mzuri sana hana tatizo na mtu, ila ni mtu ambaye ana’enjoy’ kwenye ulimwengui wake natamani kuishi kama yeye”  amesema Lulu Diva

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey