Sambaza

Señorita Ya Shawn Mendes na Camila Cabello Yavunja Rekodi

 

Image result for señorita

MTANDAO wa Spotify umetoa orodha ya ngoma zilizosikilizwa mara myingi kwenye msimu wa majira ya joto mwaka huu 2019 na kufanya ngoma ya wasanii Shawn Mendes na Camila Cabello  ”Senorita” akiwa imeongoza na kushika nafasi yakwanza na kuvunja rekodo kusikilizwa zaidi siku ya kwanza kwenye  mtandao huo.

 

 

Image result for camila cabello senorita top 10 spotify

Hii ndio Top 10 ya nyimbo zilizosikilizwa zaidi kwenye Mtandao wa Potify majira ya joto mwaka Huu,

1. “Señorita” — Shawn Mendes & Camila Cabello
2. “I Don’t Care” — Ed Sheeran & Justin Bieber
3. “Bad Guy” — Billie Eilish
4. “Old Town Road (Remix)” — Lil Nas X & Billy Ray Cyrus
5. “Callaita” — Tainy & Bad Bunny
6. “Beautiful People” — Ed Sheeran & Khalid
7. “Otro Trago” — Sech & Darell
8. “Someone You Loved” — Lewis Capaldi
9. “Goodbyes” — Post Malone & Young Thug
10. “Sunflower — Spider-Man: Into the Spider-Verse” — Post Malone & Swae Lee

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey