Ariana Grande, Aliyehusika Na Mauaji Ya Ex Wake Ahukumiwe
Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa tangu mwaka mmoja umepita baada ya kutokea kifo cha Mac Miller ambaye alikuwa mpenzi wa mwanamuziki Ariana Grande, Mwanamuziki huyo amefunguka na kusema aliyehusika kumletea dawa za kulevya Mac Miller basi ndiye anahusika na mauaji inabidi ahukumiwe.
Sasa basi mamlaka ya ya kuzuia na kupambana na dawa za kulevya nchini Marekani imeripoti kuwa mshukiwa namba moja bwana Cameron Petiti anaweza kukumbana na kifungo cha miaka 20 jela endapo atakutwa na hatia ya kusambaza dawa za kulevya.
Toa Maoni Yako Hapa