Kevin Hart Ameanza Kutembea Baada Ya Kufanyiwa Upasuaji
Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa mchekeshaji na mwigizaji maarufu pande za Marekani, Kevin Hart baada kuapata ajari mbaya ya gari wiki zilizopita sasa ameanza kutembea tana baada kufanyiwa upasuaji baadhi ya sehemu Za mwili wake .
Eniko amabaye ni mke wa mchekeshaji Kevin Hart amekanusha taarifra zinzosambaa mtanadaoni kuwa mume wake kapooza mwili mzima.
Imeripotiwa kuwa mashabiki watamkosa Kevin Hart kwenye gemu la kuchekesha kwa muda mrefu kutokana na muda wa kupumzika unaohitajika baada ya kupatiwa matibabu., Pia mwigizaji The Rock ambaye ni rafiki wa Kevin Hart amesema kuwa ‘Nimefupisha honeymoon yangu ili kuja kumuona Kevin, nimeongea na daktari wake, amesema anaendelea vizuri’.
Toa Maoni Yako Hapa