Sambaza

Mashabiki Lil Wayne Wapata Majeraha Kwenye Tamasha

Image result for lil weezy 2019 meek mill New Orleans.Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa mashabiki wa mwanamuziki Lil Wayne wamepata majeraha na wengine kupoteza mali zao za thamani baada ya kutokea fujo kwenye tamasha la Lil Weez lililofanyika mjini New Orleans.

Image result for lil weezy 2019 meek mill New Orleans.

Imeripotiwa kuwa fujo hizo zilisababishwa na uzushi wa milio ya risasi kusikika wakati rapa Meek Mill akiwa jukwaani akitoa burudani na kusababisha mshtuko kwa watu zaidi ya 15,000 ndani ya uwanja huo na pia Polisi walifika enao la tukio na wamethibitisha hakuna risasi iliyofyatuliwa.Meek Mill performs during Lil Weezyana 2019

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey