50 Cent Amshauri Nicki Minaji Asiache Mziki
Najua ata wewe ulipokea kwa masikitiko taarifa ya rapa Nicki Minaji baada ya kutangaza kustaafu muziki, basi ata kwa rapa 50 Cent ni Mmoja ya watu ambao hawajafurahishwa na taarifa hizo.
Sasa kama ulikua ujui nataka nikujuze kuwa rapa 50 Cent ni shabiki mkubwa wa muziki wa Nicki Minaj, Kupitia ukurasa wa twitter wa 50 Cent aliandika kuwa hataki Nicki aache Muziki bali achukue tu Mapumziko “Both these niggas crazy, but you know you gotta love it SOUTH SIDE,” Aliandika kwenye picha ya Nicki. “I don’t want Nicki Minaj to retire just take a break.”
Both these niggas crazy, but you know you gotta love it SOUTH SIDE. I don’t want @NICKIMINAJ to retire just take a break. #lecheminduroi #bransoncognac pic.twitter.com/gQpmhzoP5o
— 50cent (@50cent) September 7, 2019