J LO Kupiga Show Kwenye Fainali Za Super Bowl 2020
Imeripotiwa kuwa mwanamuziki Jennifer Lopez huenda akafanya show kwenye fainali za Super Bowl mwaka 2020, mwanamuziki huyo kwasasa bado yupo kwenye Maongezi na uongozi wa show hiyo yenye utata mkubwa.
Mtandao wa The Hollywoodlife umeripoti kuwa mwanamuziki Jennifer Lopez amethibitisha kuwa tayari hatua za mwisho za makubaliano ya kufanya show kwenye fainali za Super Bowl zimesha kamilika, hii ni baada ya mwaka mmoja kupita mwanadada Rihana pamoja rapa Jay-z na Cardi B kupigwa chini kufanya show hiyo kubwa kutokana na Ubaguzi wa rangi kwenye Ligi ya NFL.
Toa Maoni Yako Hapa