P Diddy Na Lori Harvey Mapenzi Mubashara
Waswahili wanasema mapenzi mubashara kauli hii uwenda ikamlenga mwanamuziki P Diddy pamoja na mpenzi wake Lori Harvey, baada ya picha zao wakionesheana mapenzi adharani zimezua gumzo uko mtanadaoni.
Picha za P Diddy akishika tumbo la mpenzi wake Loria zimezua gumzo na kuhisiwa kuwa uwenda ni mjamzito baada ya kuonekana picha zao mpya walivyokua USA wakila bata la kutosha nchini Italy na Mexico.
Adi sasa akuna uthibitisho juu ya mimba hiyo, ila hii inatajwa kuwa stori ya ajabu sana Hollywood sababu Lori aliwahi kuwa mpenzi wa mtoto wa P Diddy ‘Justin Combs’ na baadae kutoka na mastaa Trey Songz na Future.
Toa Maoni Yako Hapa