Sambaza

Amber Lulu Kuambukizwa Ukimwi kwa Mil 100

Msanii wa kike wa bongo fleva, Amber Lulu ameeleza kuwa yuko tayari kutembea na mwanaume mwenye virusi vya UKIMWI endapo atapewa Shilingi milioni 100.

Msanii huyo asiyeishiwa vituko ameyasema hayo alipokuwa akijibu maswali katika kipindi cha televisheni moja hapa nchini. 

” Halafu unajua UKIMWI hauambukizwagi mara moja, akitokea mtu ana milioni 100 na ameukwaa, me fresh tu nauza mechi “ Amesema Amber Lulu

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey