Sambaza

” Harmonize Hajaoa ” Meneja Wake Afunguka

Katika Mitandao ya kijamii kwa wiki hii, Gumzo lililokuwa likitawala hapa Tanzania ni tukio la ndoa ya Harmonize na mchumba wake wa siku nyingi Sarah ambaye ni raia wa Italy. Picha zilisambaa kila kona zikionyesha tukio hilo lililofanyika mbele ya wazazi wao wote wa pande mbili.

Kama ulikuwa unahisi tukio hilo ni la kweli, BASI UKWELI WENYEWE NDIO HUU. “KULIKUWA HAKUNA NDOA” Bali ilikuwa ni tukio la upigaji picha za video yake mpya inayoitwa “Marry me”

Meneja wa Harmonize ajulikanaye kama Mjerumani amethibitisha hilo na kusema kuwa Haiwezekani Harmonize akafunga ndoa simple namna ile isiyokuwa na watu wengi…Hivyo kuwaondoa shaka fans kwani ile ni scene ya video yake mpya.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey