Kesi Ya Trey Songz Kumshambulia Mwanamke Yafuta
Mtandao wa Blast umeripoti kuwa mwanamke mmoja anayejulikana kwa jina la Andrea Buera aliiarifu mahaka kuwa amefutilia mbali mashtaka aliyomfungulia mwanamuziki Trey Songz baada ya kudai kuwa ameshambuliwa na Trey Songz kwenye fainali za NBA kwenye viwanja vya Al-star.
Andrea ameiambia mahaka kwamba anafutilia mbali madai yote dhidi ya Trey Songz kutokana na kesi hiyo aina tena maana na hawezi kufungua kesi tena.
Andrea alimshtaki mwanamuziki huyo mwaka jana baada ya kudai kuwa alifanyiwa fujo na kushambuliwa kweny fainali za NBA.
Toa Maoni Yako Hapa