Davido Amvisha Pete Ya Uchumba Mpenzi Wake
Mwanamuziki Kutoka pande za Nigeri anaefanya vizuri na ngoma yake ya Blow My Mind, Davido amethibitisha kufunga ndoa mwaka 2020 na mpenzi wake Chioma Baada ya kumvisha Pete usiku wa kuamkia leo.
Toa Maoni Yako Hapa