Sambaza

DJ Khaled Aweka Wazi Kupata Mtoto Wapili

Mtaarishaji wa muziki nchini Marekani, DJ Khaled ameweka wazi kuwa anatarajia kupata mtoto mwingine wapili ambaye atakuwa ni wakiume

Kupitia ukurasa wake wa instagram DJ Khaled ameonesha furaha yake akiwa anamsubiri mtoto huyo kusema jinsi Mtoto wake wa Kwanza @asahdkhaled alivyomfanya afanye kazi kwa bidii ikiwemo kuachia Album zake Mbili zilizopita zilizokuwa na majina GRATEFULL Pamoja na FATHER OF ASAHD.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey