Lupita Nyong’o Apata Shavu Kucheza Filamu Ya Americanah
Mwigizaji maarufu wa filamu nchini Kenya, Lupita Nyong’o amepata shavu la kucheza filamu ya Americanah ambayo atatakiwa kucheza kama M-Nigeria kwenye filamu hiyo.
Lupita Nyong’o ametangazwa rasmi na kampuni moja kubwa ya kutengeneza filamu nchini marekani inyoitwa Warner Media, kuwa atavaa uhusika huo hali ambayo imezua mzozo kwenye mitandao ya kijamii uko nchini Nigeria, baadhi ya watu wamelalamika kwanini mwigizaji wa kenya apewe fursa ya kuvaa uhusika wa M-Nigeria.
–
Toa Maoni Yako Hapa