Sambaza

Diamond Na Rayvanny Kwenye Video 7 Zinazowania Tuzo Ya Afrima

Kwa miaka minne mfululizo Diamond Platnumz amekuwa akishinda tuzo ya Afrima kwenye kipengele cha msanii bora wa kiume Afrika mashariki. Mwaka huu Diamond anachuana na Harmonize, Rayvanny, Mbosso kutokea Tanzania na Kenya wapo Khaligraph na Nyanshski huku Shayn na Boy Black wa Madagascar wakiunga list hiyo.

Diamond ni miongoni mwa wasanii waliotajwa kuwania tuzo nyingi ikiwemo ya Video bora ya kiafrika ambapo wimbo ‘Tetema’ alioshirikishwa na  Rayvanny unachuana na nyimbo nyingine sita kuwania tuzo hiyo.

Hii hapa ni Playlist ya nyimbo zote saba zinazowania tuzo hiyo ambayo itatolewa mwezi Novemba mwaka huu.

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey