Sambaza

Burna Boy Na Steflon Don Wamevishana Pete Ya Uchumba

Huenda Burna Boy ameamua kuyapeleka mahusiano yake levo nyingine baada ya mpenzi wake kujionyesha amevalia pete tunayodhani inaweza kuwa ya uchumba.

Steflon Don mwenye asili ya Uingereza ametumia insta story kuonyesha pete hiyo.

Miezi michache iliyopita kwenye intavyuu na Hot97 ya Marekani Burna Boy alisema anampenda sana Steflon Don na mapenzi yao sio kiki au kitu kingine chochote.

“Natamani kupata mtoto na Steflon, mtoto ambaye nitamlea kama nilivyolelewa mimi” alisema Burna Boy.

Burna Boy na Steflon Don wamekuwa kwenye mahusiano kwa kipindi kirefu, Kama wamefikia hatua ya kuvishana pete, huenda Burna Boy akatimiza ndoto yake ya kuanzisha familia na rappa huyo.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey