Sambaza

Diamond Platnumz Na JUX Kwenye Video Ya Pamoja

Diamond Platnumz ameshare kipande cha video kinachomuonyesha anaondoka ofisini kwake na kuingia mtaani ambako anakutana na love ya mashabiki wake wa damu.

Akiwa kwenye msafara wa magari matatu na ulinzi wa kutosha, Diamond ameeonekana sehemu ambayo tunaweza kuhisi ni ‘Location’ ambapo huenda inafanyika video ya wimbo wa pamoja na Jux kwani naye ni mmoja ya watu ambao wanaonekana kwenye kipande cha video hiyo.

View this post on Instagram

What a Busy Day!!!! . . @lukambaofficial

A post shared by Chibu Dangote..! (@diamondplatnumz) on

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey