Sambaza

Mwaka Mmoja Wa Donjazzy Bila Sigara

DonJazzy ameitaja siku ya leo kama siku inayokamilisha mwaka mmoja tangu alipoamua kuachana na uvutaji wa Sigara. Mwanamuziki  huyo ambaye ni Bosi wa Mavin Records, ameshare taarifa hizo kupitia ukurasa wake kwa kuandika.

“Leo umetimia  mwaka mmoja tangu niacha sigara. Nipigieni makofi tafadhali. ? hehe”. Ameandika Don Jazzy.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey