Sambaza

Kutana Na Lil Nas X: Mkali Wa Muziki Anayejivunia Ushoga

Kwa mara ya kwanza kwenye historia ya chati ya Billboard Hot 100, Wimbo ‘Old Town Road’ wa Lil Nas X na Billie Ray Cyrus uliivunja rekodi ya kuwa wimbo uliokaa namba moja kwenye chati hiyo kwa muda mrefu. Wimbo huo ambao ulimpa Lil Nas X tuzo mbili za VMA, ulikaa nafasi ya kwanza kwenye chati hiyo kwa wiki 19.

Wakati ambao Old Town Road unaendelea kuwa wimbo mkubwa, Lil Nas X aliutumia mwezi June kuithibitishia dunia kama yeye ni shoga na hakuna anachojutia.

Rappa huyo mwenye miaka 20 amepiga stori na Ellen DeGenres ambapo ameongea mambo kadhaa kuhusu muziki na maisha yake binafsi huku ushoga ukiwa maada kuu, Ellen alimuuliza kitu kilichompa nguvu ya kujitangaza na  hadharani wakati ambao vita ya ushoga inapamba mtoto duniani. Muimbaji huyo wa Panini alijibu “ni kitu ambacho ilikuwa lazima nikifanye, nimekuwa sina nafasi ya kujielezea ninavyohisi lakini kwa levo niliyopo sasa nahitaji kuongea bila kumuudhi mtu yeyote’

Kwa sasa Lil Nas X anatamba na wimbo wake Panini ambao upo kwenye EP yake ya ‘7’

 7,801 total views,  3 views today

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey