Sambaza

Nicki Minaj Ameghairi Kustaafu? Msikilize Kwenye ‘Fendi’ Ya PnB Rock Na Murda Beatz

Nicki Minaj ni miongoni mwa wasanii waliosikitisha mashabiki wengi wa Hip Hop mwaka huu na hii ni baada ya tweet yake ya Septemba 6 ambapo alithibitisha kustaafu muziki na kuanza kuwekeza muda wake kwenye familia.

Kila mmoja amekuwa akiongea anachojisikia kuhusu kustaafu kwa Nicki Minaj ambaye kwa miaka 10 iliyopita, amekuwa Rappa wa kike mwenye bei mbaya zaidi. Katika kuwachanganya zaidi mashabiki wake, Nicki Minaj amesikika kwenye wimbo mpya wa PnB Rock pamoja na Murda.

Hatuna taarifa zinazothibitisha kama Nicki Minaj amerudi tena kwenye muziki au ni wimbo wake wa mwisho huu. Huenda wimbo huu ukawa mkubwa kutokana na hitaji la watu kumsikia Nicki Minaj alichokisema kwenye wimbo huu uliokuja siku chache baada ya kutangaza kustaafu.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey