Sambaza

Zawadi Ya Birthday: Wema Sepetu Amepewa Gari Na Aunty Ezekiel

Kama ni mfuatiliaji wa masuala ya burudani na stori za mastaa wa Tanzania, Bila shaka utakuwa unafahamu kama mrembo Wema Sepetu husherehekea siku yake ya kuzaliwa kila Septemba 28.

Mwaka huu 2019, Wema Sepetu anadondosha Bad & Boujee Birthday Party pande za Element ambapo anautaja usiku wa kesho kuwa usiku wa kunyuka pamba .

Sasa kabla hatujaanza kuyaona mabalaa ya Birthday hiyo , Aunty Ezekiel ambaye ni rafiki yake wa siku nyingi wa Wema, amempatia zawadi ya gari mrembo huyo na kumzidishia furaha kama unavyoweza kumuona wema kwenye video hii

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey