Sambaza

Celine Dion; Virusi Vya Koo Vimemzuia Kufanya Tour

Celine Dion ameghairisha shoo zake nne  alizotakiwa kuzianza jana Septemba 26, Promota wake amesema muimbaji huyo anasumbuliwa na matatizo ya koo hivyo anahitaji kupata wiki kadhaa za kupumzika.

Mwanamuziki huyo alitakiwa kuanza tour yake kwenye mji wa Montreal Canada lakini kutokana na virusi vinavyoshambulia koo lake, Celine anatakiwa kupumzika mpaka mwezi Novemba kwa mujibu wa Daktari wake.

 2,082 total views,  3 views today

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey