Sambaza

Ujio Mpya Wa Teni Baada Ya Case

Teni ataachia Wimbo mpya na EP yake ya kwanza itakayokwenda Kwa jina la Bilionaire.

Staa huyo wa wimbo wa ‘Case’ ametumia ukurasa wake wa Instagram kutangaza ujio wa single itakayoachiwa Oktoba 4 ikifuatiwa na EP itakayoachiwa oktoba 11.

Projekti zote zitakwenda kwa jina moja la Bilionare, Pheelz anahusika kwenye uandaaji kama ambavyo Teni ameandika.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey