Sambaza

Cardi B Amesimulia Alivyokatisha Siku Zake Ili Afanye Mapenzi Na Offset

Rappa Cardi B ameonekana kwenye episode ya kwanza ya Untold Stories Of Hip Hop ya Angie Martinez ambapo ameongea vitu vingi tusivyovijua ikiwepo ishu kuhusu alivyokatisha siku zake ili afanye mapenzi na boyfriend wake ambaye kwa sasa ni mume wake (Offset).

 

Cardi amesema ilikuwa ni mwanzo kabisa wa mahusiano yao na siku hiyo ilikuwa ni moja kati ya siku ambazo alikuwa haamini kama Offset anaweza kuwa ni mtu anayewaza kuwa naye, Cardi B amekumbushia kwamba siku hiyo walikuwa hawajaongea kwa muda mrefu hivyo hakutaka kumuacha ‘Offset dry’ kwani asingemuona tena kwa wiki nyingine. Mshindi huyo wa tuzo ya Grammy alisema alikunywa vitu vilivyokata mzunguko wake ili afurahie na mpenzi wake kabla ya kumkosa.
Nilikunywa vitu vilivyozuia mzunguko, ndiyo, mzunguko ulisimama  tukafanya….. hapakuwa na ladha yeyote, ilikuwa ovyo sana wala simshauri mtu yeyote kufanya kitu kama hicho, mimi ni kichaa mmoja”
alisema Cardi B.

 4,392 total views,  3 views today

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey