Sambaza

Billnass Na Nandy Waalivyojiachia Tigo Fiesta Mwanza

Umekatika mwezi mmoja tangu Agosti 30 ilipoachiwa kolabo ya Billnass na Nandy, wimbo huo unaotamba kwa jina la Bugana, ni miongoni mwa nyimbo maarufu zilizofanikiwa kutamba kwa kipindi hiki ambacho nyimbo mpya zinaachiwa kila kukicha. Kwa mara ya kwanza Nandy ana Billnass waliungana kwenye steji yaTigo Fiesta na kudondosha bonge moja la show ya ngoma yao hiyo ya pamoja mabayo inaendelea kufanya vizuri kwenye TV na Radio.

Hizi hapa ni picha alioposti Billnass kwenye akaunti yake ya Instagram.

 5,080 total views,  3 views today

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey