Sambaza

Bobi Wine Apigwa Marufuku Kuvaa Kofia Nyekundu

Mwanamuziki Bobi Wine wa Uganda ambaye pia ni mwanasiasa maarufu nchini humo, amepigwa marufuku kuvaa kofia nyekundu ambazo amekuwa akizivaa kama alama ya upinzani wa serikali ya rais Yoweri Museveni.

 

Mamlaka za usalama nchini Uganda zimetangaza kama kofia hizo zimetengenezwa kwa matumizi ya wanajeshi wa vikosi vya ulinzi na usalama nchini humo. Kitendo cha Bobi Wine na wafuasi wake kuvalia sare ya kofia hizo ni kosa kisheria na wameamrishwa kuacha mara moja.

 2,942 total views,  3 views today

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey