Ndoa Ya Jennifer Lopez Imekaribia
Jennifer Lopez na mpenzi wake wa siku nyingi Alex Rodriquez wamevishana pete ya uchumba na kufanya sherehe ya mipango ya ndoa yao baada ya kuwa wapenzi kwa takribani miaka miwili iliyopita.
“So great celebrating with family and close friends last night,” ameandika Rodrique, wakati Jennifer Lopez akisisitiza usiku wa Ijumaa (Sept. 27) kuwa usiku mzuri aidi katika maisha yake.
1,639 total views, 6 views today
Toa Maoni Yako Hapa