Sambaza

No Guidance Na Drake Inavyorudisha Heshima Ya Chris Brown

Kolabo ya Chris Brown na Drake, ‘No Guidance.’ ni moja kati ya nyimbo za Breezy zilizofanya vizuri katika kipindi chote cha muziki wake.

Wimbo huo uliopo kwenye albamu ya ‘Indigo’, umefanikiwa kupanda hadi nafasi ya 5 kwenye chati ya Billboard Hot 100, Chris Brown amerudi kwenye Top 5 ya chati hii kwa mara nyingine tangu 2008 alipoachia wimbo wa ‘Forever’ ambao ulisimama kwenye nafasi ya 2.

Kwa Drake, kuingia Top 5 ya Hot 100 ni kawaida. Kwani wimbo huu unakuwa ni wimbo wa 15 kuliweka jina lake kwenye mzunguko wa nyimbo 5 bora kati ya nyimbo 100 tangu aingie rasmi kwenye muziki na kuanza kuzimiliki chati.

 1,664 total views,  3 views today

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey