Sambaza

R. Kelly Anaumwa, Ameomba Atolewe Jela

R. Kelly amerudi mahakamani kwa mara nyingine.

Imeripotiwa kuwa mwanasheria wa R. Kelly amewasilisha mafaili yenye maelezo juu ya afya ya mteja wake anayesumbuliwa na maradhi ya ganzi kwenye mikono yake, wasiwasi na henia isiyotibika. Afya ya mwanamuziki huyo inadaiwa kudorola tangu alipoingia jela ambako amekuwa hapati matibabu ya uhakika.

Licha ya R. Kelly kutuma maombi yake ya kutolewa jela ili ashughulikie afya yake, jaji anayesimamia kesi yake ya ubakaji bado hajafanya maamuzi hivyo R. Kelly bado anaendelea kusota jela.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey