2 Chainz Amerudisha Heshima Nyumbani Kwa Kununua Tamasha
2 Chainz huenda akaongeza cheni nyingi tu kutokana na uwekezaji mpya alioufanya. Rappa huyo mwenye asili ya Atlanta ameamua kuweka heshima nyumbani kwa kununua sehemu ya hisa za A3C, tamasha maarufu la muziki ambalo hufanyika Atlanta Georgia kila mwaka.
Tamasha hilo ambalo limekuwepo kwa takaribani miaka 15 linahusisha muziki, teknolojia mashindano ya vipaji hufanyika kwa muda wa siku tatu likiwakutanisha watu mbalimbali kutokea kwenye mji huo wa Atlanta ambao una idadi kubwa ya WanaHip-Hop wanaofanya vizuri.
2,267 total views, 3 views today
Toa Maoni Yako Hapa