Sambaza

Washindi Wa Zawadi Za Global Radio

SISI TUMESHTUKA NAWE SHTUKA

 

Hivi ndivyo unavyoweza kusema kama umeinyaka kampeni inayoendelea ndani ya 255 GLOBAL RADIO Radio yako kiganjani mwako.
Kumekuwa na kampeni inayoendelea kwa yeyote aliye download App ya #255globalradio na akashiriki kusikiliza radio na kuchangia mijadala anajiweka kwenye nafasi ya kushinda vocha kuanzia sh 10,000, chakula cha mchana/jioni na kupata nafasi ya kulala usiku mmoja katika Hotel ya kimataifa ya The Atriums Hotel .

Hivyo basi mamia ya watu wameshtuka na kuanza kuchangamkia fursa na kushinda kupitia kipindi cha KATAMBUGA kinachoruka kila j3 – ijumaa ndani ya Global radio miongoni mwao ni Yusuph Mbuguni wa kigamboni, Iddy Sudi mburahati hawa wamejishindia chakula cha mchana ,fancy Frank Nyegezi Mwanza, Judith Sanga Kibaha, Neema Masilanga wa Kigamboni,Selemani Salum Bumbuli Tanga na hawa wamejishindia vocha ya sh elfu kumi kila mmoja

Kama bado hujapakua App ya #255globalradio pakua App yako sasa hivi ili uweze kushinda.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey