Sambaza

Cardi B, T.I, Chance The Rapper Na Snoop Dogg Kumtafuta Staa Wa Hip Hop

Cardi B na T.I ni miongoni mwa majaji wanne watakaosimamia mashindano ya Rythm & Flow, wawili hao watakutana na Hip Hop supastaa Chance The Rapper pamoja na mkongwe Snoop Dogg ambao watakuwa na kazi ya kumtafuta staa mpya wa Hip Hop kupitia mashindano hayo.

Hii itakuwa show ya kwanza ya mashindano ya muziki kuonyeshwa na Netflix, ambao wameahidi kutembea miji mikubwa ya marekani kwa lengo la kumtafuta mwanamuziki mchanga wa Hip Hop watakayemsaidia kutimiza malengo yake. 

 2,589 total views,  3 views today

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey