Mke Wa Justin Bieber ‘Hailey’ Hana Tatizo Na Selena Gomez
Wiki iliyopita stori kubwa instagram ilikuwa ni mke wa Justin Bieber kui-like picha ya Selena Gomez ambaye ni mpenzi wa zamani wa mume wake. Mashabiki wa Selena walipagawishwa na kitendo hicho hata kutumia nguvu nyingi kuisambaza picha iliyokuwa ikionyesha jina la mrembo Hailey kwenye likes za picha hiyo iliyomuonyesha Selena na marafiki zake.
Alhamisi (Oktoba 3), siku mbili baada ya ndoa na Justin Bieber, Hailey amefanya tukio kama alilolifanya wiki iliyopita kwa ku-like picha nyingine inayomuonyesha Selena Gomez na rafiki zake saba.
5,746 total views, 3 views today
Toa Maoni Yako Hapa