Mtoto Wa MayWeather Kufanya Wimbo Na NBA YoungBoy
Wikiendi iliyopita, Yaya Mayweather aliachia kipande cha video kikimuonyesha yeye na NBA YoungBoy, wawili hao ambao wamekuwa wakitoka kimapenzi,wamesikika waki-rap ndani ya video hiyo.
Wimbo walioutumia bado haujatambulika hivyo tumethubutu kufikiria huu unaweza kuwa ujio wa wimbo wao wa kushirikiana.
2,987 total views, 3 views today
Toa Maoni Yako Hapa