Muonekano Wa Harmonize Akiwa Australia
East African Young King Harmonize yupo Sydney Australia, ambapo amekwenda kwa ajili ya kufanya perfomance kwenye tamasha la One Dance Afrika.
Harmonize akiwa nchini humo ameshea picha kadhaa kwenye ukurasa wake wa Instagram zikimuonyesha na muonekano mpya wa nywele zake nyeupe ambazo wakati huu ameamua kuzisuka.
Tamasha la One Dance Africa linafanyika Australia kwa mara ya kwanza, akiwa ni mmoja wa wanamuziki watakaotoa burudani kwa waafrika waishio nchini humo, Harmonize ataungana na mastaa wa Nigeria Yemi Alade na Wizkid.
4,888 total views, 3 views today
Toa Maoni Yako Hapa