Picha; Rais Magufuli Alivyofungua Barabara Ya Kanazi-Kizi-Kibaoni Km 76.6
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifungua barabara ya Kanazi-Kizi-Kibaoni km 76.6 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami pamoja na Daraja la Kavuu M 85.3 katika sherehe zilizofanyika katika eneo la Kibaoni mkoani Katavi.
Sehemu ya barabara ya Kanazi-Kizi-Kibaoni km 76.6 iliyokamilika kujengwa kwa lami na kufunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kama inavyoonekana pichani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia wanyama aina ya viboko katika hifadhi ya Taifa ya Katavi mara baada ya kusimama wakati akielekea Mpanda.
2,387 total views, 3 views today
Toa Maoni Yako Hapa