Sambaza

Jinsi Ya Kushinda Zawadi Za +255 Global Radio

+255 Global Radio ni redio ya mtandaoni ambayo inalenga kutoa taarifa na burudani kupitia vipindi vyake vinavyoruka masaa 24 siku saba za wiki.

+255 Global Radio inasikika kwenye Application yetu inayopatikana Playstore na AppStore pamoja na website hii ambapo ukiingia kwa mara ya kwanza tu unakutana na Radio yetu ambayo haitakufanya ujutie kujiunga na familia yetu.

Jiunge sasa kwani hatutakuacha bure, Ukidownload App yetu unajiweka kwenye nafasi ya kushinda muda wa maongezi na zawadi kubwa kabisa ya kupata chakula na kulala kwenye hoteli ya kimataifa The Atriums.

Jinsi Ya Kuipata App Yetu;

1. Mtumiaji wa Android au iOS fungua Playstore au Appstore

Au Bonyeza Hapa–http://bit.ly/255GlobalRadioiOS / http://bit.ly/255GlobalRadioAndroid

2. Kwenye Kitufe cha kutafuta, andika +255 Global Radio

3. Bonyeza Install halafu hakikisha App imeingia kwenye simu yako

4. Fungua App uliyoweka kwenye simu yako kisha screenshoot halafu tutumie kwenye namba hii +255746 244 255

5.Mengine tuachie sisi kwani tuna lengo moja tu, kukupa burudani ya uhakika.

 

 

 2,167 total views,  6 views today

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey