Sambaza

Professor Jay Alivyosherehekea Ushindi Huu

Mbunge wa jimbo la Mikumi kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Haule A.K.A Professor Jay amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa chama hicho wilaya ya Kilosa Morogoro.

Professor Jay ambaye ni Mbunge pekee anayeongoza Binadamu na wanyama, ameshea taarifa hizo kupitia ukurasa wake wa instagram kama alivyoandika hapa kenye picha chini.

 

 2,072 total views,  3 views today

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey