Rayvanny Ameungana Na Mayorkun, Icheki Hii Mpya Inaitwa GimiDat
Siku nne baada ya kuiachia Chuchumaa, Rayvanny ameungana na Mnaijeria Mayorkun kuachia wimbo mwingine unaokwenda kwa jina la GimiDat.
Audio ya wimbo huu imetengenezwa na Abbah huku video ikia imeongozwa na MR C wa Nigeria.
3,528 total views, 3 views today
Toa Maoni Yako Hapa