Amber Rose Na Mpenzi Wake Wamepata Mtoto Wa Kiume, Anaitwa Slash Electric
Manamitindo Amber Rose mwenye umri wa miaka 35, amebarikiwa kupata mtoto wa kiume. Alexandra Edwards ambaye ni mpenzi wake, amepost picha yake akiwa amembeba mtoto wao.
“Slash Electric Alexander Edwards.. the world is urs now,” ameandika, “thank u @amberrose for loving me so much that u put ur body thru it 2 bring my sun in2 the world. I could never be as strong as u. Slash a rockstar.”
Slash anaifanya idadi ya watoto wa Amber Rose kuwa wawili baada ya Sebastian aliyezaa na Wiz Khalifa.
3,196 total views, 3 views today
Toa Maoni Yako Hapa