Msikilize Gnako Kwenye Mid Morning Fresh Muda Huu
Kutokea Arusha Tanzania mpaka Bongo DSM, Gnako Warawara ni miongoni mwa wanaoutendea haki muziki wa Bongofleva kwa kufit kila anapokaa, tupo naye Live kwenye #MidMorningFresh kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa sita mchana.
kwenye MIC yupo Diana Mkeu alongside Babuallythebest na Darboi.
Hakikisha Unayo Application Yetu Ambayo Inapatikana Play store/Appstore Na Kwenye Website globaradio.co.tz
3,430 total views, 3 views today
Toa Maoni Yako Hapa