Sambaza

Tekashi 6ix9ine Amelamba Dili La Mamilioni Akiwa Jela

Tekashi 6ix9ine anaweza kuthibitisha kama masnitch wanaweza kubadilika na kuwa matajiri, hii inafuatia baada ya rappa huyo kupokea dili la mamilioni akiwa jela.

Dili hiyo ambayo ina thamani ya dola milioni 10 za Marekani, itamuwezesha Tekashi kufanya albamu mbili ikiwemo moja ya kiingereza na moja ya kihispania. Iwapo Tekashi ataikubali dili hiyo,itakuwa ni mara ya pili kufanya kazi na 10K Projects Lebo ambayo alianza nayo mwaka 2017.

Tekashi bado yupo jela akisubri hukumu yake kufuatia kujihusisha na vitendo vya kihalifu alivyokuwa akivifanya yeye na kundi la Nine Trey Gangsta.

 3,475 total views,  3 views today

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey