Sambaza

Tanasha Dona Amejibu Kuhusu Kudanganya Birthday Ya Mtoto Wake Na Diamond Platnumz

Mashabiki wa mrembo kutokea Kenya TanashaDonna, Wamemtaka mrembo huyo kuonyesha cheti cha kuzaliwa mtoto wake.

Mashabiki wamekuwa wakimsumbua Tanasha aonyeshe cheti hicho ili kuthibitisha birthday ya mtoto huyo ambayo inatajwa kufanana na siku aliyozaliwa DiamondPlatnumz.

Taarifa za Tanasha kujifungua, zilianza kusambaa Oktoba 2 ambayo ni siku aliyozaliwa Diamond, hivyo mashabiki wamekuwa wakisema Tanasha na familia ya Mondi wamedanganya mashabiki ili kuwafanya Baba na mtoto hao kuonekana wamezaliwa siku moja.

Hata hivyo Tanasha mwenyewe amekanusha taarifa hizo kwa kudai mjinga ndiye anaweza kufanya hivyo.

 5,436 total views,  3 views today

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey