Officiallyyn Anavyojiachia Na Bata La Dubai
Video Queen na mwanamitindo aliyegeuka kuwa muimbaji Official Lyn anakula bata peke yake Dubai.
Baada ya kutrend na stori ya kuzungukwa na mabaunsa wengi kwenye usiku wa birthday yake, muimbaji huyo wa Pepea anaonekana kuyafurahia maisha yake kwenye mji wa Dubai ambao ni maarufu kwa wala bata.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Lyn ameanza kupost matukio yake akiwa kwenye viwanja tofauti akijiachia. Post nyingi zinamuonyesha Lyn peke yake bila mtu wa pembeni, kama ambavyo aliwahi kusema bata lake huwa anajifanyia mwenyewe bila kutegemea watu.
Ndani ya siku moja, Official Lyn ameshea takribani picha kumi zikimuonyesha kwenye viwanja tofauti.
2,783 total views, 6 views today
Toa Maoni Yako Hapa