Sambaza

BADDEST; Makubaliano Yangu Na Shilole Ni Private

Baddest 47 ameendelea kuwepo kwenye orodha ya majina ya wasanii wa Bongofleva wanaosikilizwa mara nyingi na video zao kuangaliwa mara nyingi.

Hii inatokea baada ya kuachia Nikagongee ambayo ni ngoma yake mpya akiwa ameshirikiana na BadGirl Shishi.

Kwenye intavyuu aliyoifanya na Bongo255 ya +255 Global Radio, Baddest amefunguka mambo mengi ikiwemo kuhusu wimbo wake Nikagongee ambapo amesema hajamaanisha ngono kwenye wimbo huo kama ambavyo wengi wanafikiria.

Angalia Interview Yote Hapa:

 2,674 total views,  3 views today

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey