Sambaza

Harmonize Hatafanya Muziki Kwa Muda Huu

Alhamisi (Oktoba 10), Harmonize aliitambulisha Konde Music Worldwide (kmw) kama menejimenti yake mpya.

Sambamba na utambulisho wa KMW, Kondeboy alisema atakuja na ngoma mpya wiki hii.

Akijibu komenti ambayo ilimtaka kuachia ngoma mpya, Harmonize alijibu kama wiki hii kutakuwa na mkwaju mpya kutokea kwake.

Jana asubuhi kupitia ukurasa wake wa Instagram, Harmonize alishea picha yake na starboy Wizkid huku caption yake ikikazia msimamo wake wa kuachia wimbo mpya wiki hii. Finally tumefika Jumatatu ya wiki ambayo Harmonize alituahidi, katika hali isiyo ya kawaida, Harmonize anaonyesha kama anakwenda kuchukua breki kwa miezi kadhaa bila kuachia ngoma mpya.

Kwa mujibu wa post yake ya leo, Mmakonde huyo hana mpango wa kuachia ngoma mpya leo wala kesho, “New Music 2020 ? Serious ??”. Imesomeka caption kwenye picha ya Harmonize.

View this post on Instagram

New Music 2020 ? Serious ??

A post shared by KONDEBOY (@harmonize_tz) on

Katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita, Harmonize amefanya mambo mengi sana kwenye muziki zikiwemo kolabo na wasanii wengi wa Afrika akiwemo Q Chillah ambaye sasa hivi anasikilizika baada ya ukimya wa muda mrefu.

 2,367 total views,  3 views today

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey