Sambaza

Ushauri Wa Angelina Jolie Kwa Wasichana Wanaotegemea Wanaume

Angelina Jolie ameongelea moja kati ya vitu muhimu ambavyo wasichana wanaweza kuvifanya ili kuboresha maisha yao.

Muigizaji huyo wa The Maleficent amezungumzia jinsi maisha ya kawaida, stori za kuandikwa pamoja na muvi ambazo huwaonyesha wasichana wengi wakitegemea wanaume ili wapate ujasiri, au kuwa imara kwenye magumu wanayotaka kuyafanya. Mwanamama huyo mwenye umri wa miaka 44, amesema anaamini kama wasichana  wanatakiwa kutafuta nguvu zao wenyewe bila kutegemea wanaume.

“Sisi wote tunahitaji sana, na tunapenda kuujifunza kutoka kwa wanaume. ‘Na kwa hivyo nadhani ushauri wangu muhimu, ni kuwakumbusha wasichana kuwa na  nguvu za kufanya mambo yao wenyewe bila kuwategemea lakini kwa kuheshimu na kujifunza kutoka kwa wanaume walio karibu nao” alisema Angelina Jolie

 

 

 2,299 total views,  3 views today

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey