Sambaza

Kanye West Hajisikii Vizuri Na Uvaaji Wa Kim Kardashian

Kanye West anadai kuwa anachukizwa na kitendo cha mke wake Kim Kardashian kujionyesha mwili wake kama ambavyo amekuwa akifanya.

Jumapili usiku (Oktoba 13), Kwenye episode mpya ya Keeping Up With Kardashian, mashabiki walipata nafasi ya kuwaona wanandoa hao walipohudhuria MetGala mwezi mei. Kanye West alimwambia Kim anajisikia vibaya akiona watu wanamtolea macho kwani nguo aliyokuwa amevaa ilikuwa inamuonyesha sehemu kubwa ya mwili wake.

Kim Kardashian ambaye amekuwa akiitumia mitandao ya kijamii kutangaza kazi zake za masuala ya mitindo, alikasirishwa na maoni ya mume wake ambaye siku za nyuma aliwahi kukaririwa akisema anapenda kumuona mkewe akiwa kwenye nguo za mitego.

 1,961 total views,  3 views today

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey