Sambaza

Maoni Ya Mashabiki Kwa Eddy Kenzo Alivyotishia Kuacha Muziki

Eddy Kenzo bado anaendelea kupitia wakati mgumu kwenye kipengele cha maisha yake ya mapenzi,

Ni takribani mwezi mmoja umepita tangu aliyekuwa mpenzi wake anayetambulika kwa jina la Rema kumuacha supastaa huyo wa Uganda na kwenda kuolewa na mwanaume mwingine.

Sheikh Nu Muzaata wa Uganda alitoa kauli, inayomtafsri Eddy Kenzo kama mwanaume ambaye hajatulia, Baada ya kuzipata stori hizo, Eddy Kenzo aliielekeza hasira yake yote kwa Sheikh huyo akimtaka atengue kauli yake vinginevyo mshindi huyo wa tuzo ya BET ataacha kufanya kazi ya muziki kwenye steji yoyote nchini Uganda.

Baada ya kushea stori hiyo na wasomaji wetu, wametoa mitazamo yao kuhusu kinachoendelea kila mmoja anachofikiria.

Miongoni mwa waliotoa maoni yao ni Sijawa Lusaka ambaye aliandika “kwahiyo akitaka aendelee kumtumia tuuuu mpaka achoke na maumivu huwa hayatofautiani usije sema etu mwanaume anaumia sana mpenzi wake ukiolewa kabla yake tambua na wanawake tuna mioyo na maumivu ni yaleyale tofauti ni jinsi ya kuyabeba”  komenti ambayo iliyofuatiwa na ile iliyosomeka “

Kama kenzo na hela zake na u star wake wote anaachwa mimi ni naaaniiii nisiachwe” ambayo iliandikwa na msomaji wetu France Emma Tz.
Kwenye post hii hapa chini kuna maoni ya wadauunaweza kutuambia unachofikiria kuhusu ishu hiyo

 2,406 total views,  3 views today

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey